Skip to content

Involvement

Home » Jamvi la Kiswahili » Page 3

Jamvi la Kiswahili

Pinky Ponky

[Pcha kwa hisani ya Freepik] Na Abdul Shaban. Nimefika katikati,kuelekea nyumbani. Namuona kaiwesti,nayeye yuko njiani. Juu kavalia vesti,chini nguo ya kijani. Akauliza bwana J,mbona umekimya… Read More »Pinky Ponky

WAPI NJIA NITAPATA?

Na Abdul Shaban Ndugu zangu ahlani, wasahlan jamiaNawaombea amani, iweni nanyi daimaNimenena kwa vinani, taarifa kuwafikaNawauliza jamani, wapi njia nitapata? Mwenzenu nawambieni, limenikuta gharikaChonde chonde… Read More »WAPI NJIA NITAPATA?

MUDA

{Picha kwa hisani ya HelpGuide.org}   Na Abdul S. Shaban Nakumbuka ule muda, Niliokuwa napoteza muda, Nabaki naumia buda, Sikuwahi tunza muda. Muda leo unao,… Read More »MUDA